Kinyambo (au Orunyambo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyambo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinyambo imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyambo iko katika kundi la E20.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyambo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.