Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Novemba ni siku ya 329 ya mwaka (ya 330 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 36.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Katerina wa Aleksandria, Merkuri wa Kaisarea, Musa wa Roma, Petro I wa Aleksandria, Esiki, Pakomi na Theodori, Markulo wa Numidia, Petro Yi Ho-yong n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Novemba 25
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.