Adama
Adama is located in Ethiopia
Adama
Adama

Mahali pa mji wa Adama katika Ethiopia

Majiranukta: 8°32′0″N 39°16′0″E / 8.53333°N 39.26667°E / 8.53333; 39.26667
Nchi Ethiopia
Mkoa Oromia
Wilaya Misraq Shewa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 338,940
Kitovu cha mji wa Adama.
Kanisa la Adama.

Adama (pia: Nazret au Nazreth; kwa Kiamhara: ናዝሬት nāzrēt; kwa Kioromo: Adaamaa au Hadaamaa; kwa Ge'ez ኣዳማ ādāmā) ni makao makuu ya Jimbo la Oromia nchini Ethiopia.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 338,940 (2016).

Tazama pia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Adama
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.