Agnes wa Poitiers (alifariki 586) alikuwa mwanamke wa Ufaransa ambaye alilelewa katika ikulu akawa kipenzi wa malkia Radegunda, aliyeanzisha chini ya kanuni ya Sesari wa Arles abasia huko Poitiers mwaka 557[1][2][3]. Agnes alijiunga nayo na kwa baraka ya Jermano wa Paris akawa abesi wake akaiongoza kwa upendo mkubwa hadi alipofariki dunia[4][5][6][7][8].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
|accessdate=
(help)
|accessdate=
(help)
|date=, |accessdate=
(help)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |