Mchoro wake maarufu zaidi, ukidokeza fumbo la Utatu mtakatifu katika wageni watatu wa Abrahamu (Mwa 18).

Andrei Rublev (1360-1370 hivi - Andronikov Monastery, Moscow 29 Januari 1427-1430) (kwa Kirusi Андре́й Рублёв) alikuwa mchoraji bora wa picha takatifu kutoka Urusi.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 29 Januari au 4 Julai kila mwaka.

Baadhi ya michoro yake

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Andrei Rublev
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.