Mahali panapotunza masalia yake.

Argimiro (Cabra, karne ya 8 - Cordoba, Hispania, 28 Juni 856) alikuwa Mkristo wa Hispania, ambaye baada ya kuacha cheo serikalini, akawa mmonaki na akiwa na umri mkubwa akateswa kikatili akauawa kwa upanga chini ya mtawala wa eneo hilo, Mohamed I wa Cordoba kwa kukataa kusilimu[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 28 Juni[3].

Tazama pia

Tanbihi

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-26. Iliwekwa mnamo 2020-06-27.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/59920
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.