Picha za Bilbao.

Bilbao (kwa Kieuskara: Bilbo) ni mji wa Hispania kaskazini, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Nchi ya Kieuskara.

Tarehe 1 Januari 2015 wakazi wake walikuwa 345,141, lakini rundiko la mji lina watu 1,037,847.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Bilbao
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bilbao kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.