Bwawa la Nyumba ya Mungu limepatikana kwa lambo lililojengwa miaka ya 1960 katika wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania) ili maji ya mto Kikuletwa na ya mto Ruvu yaweze kutumika kuzalisha umeme (8 MW).
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bwawa la Nyumba ya Mungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |