Carlos Santana
Carlos Santos
Carlos Santos
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Carlos Augusto Santana Alves
Amezaliwa 20 Julai 1947 (1947-07-20) (umri 77)
Asili yake Autlán de Navarro, Jalisco, Mexiko
Aina ya muziki Blues-rock, Latin rock, Rock ya vyombo vitupu, Jazz fusion, Hard rock, Garage rock
Kazi yake Mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo
Ala Gitaa
Miaka ya kazi 1966–hadi leo
Studio Arista, Polydor, Columbia/CBS
Ame/Wameshirikiana na Santana, Chad Kroeger, Rob Thomas, Michelle Branch
Tovuti http://www.santana.com

Carlos Augusto Santana Alves (amezaliwa tar. 20 Julai 1947 mjini Autlán de Navarro, Mexiko) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama mwanamuziki-mpiga gitaa bora wa Kimexiko. Ameanza kujipatia umaarufu tangu kunako miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970 akiwa na bendi yake ya Santana Bendi, ambayo imejizolea umaarufu na mafanikio makubwa kwa muziki wao wa rock, blues, salsa, na jazz fusion.

Bendi imeingizia baadhi ya ala zake mwenyewe, yaani anapiga blues-besi gitaa iendanayo na muundo sawa kabisa na zile ngoma za Kilatini kama vile timbalesi na congasi. Santana aliendlea kufanya shughuli zake za kimuziki kwa takriba miaka kadhaa. Alipata umaarufu mkubwa sana kunako miaka ya 1990. Mwaka wa 2003, gazeti la Rolling Stone nao wamempa Santana namba 15 katika orodha zao za Wapiga Gitaa Wakubwa kwa muda wa miaka 100.[1]

Muziki

[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake akiwa na bendi ya Santana

[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake akiwa kama msanii wa kujitegemea pamoja na za Ushirika

[hariri | hariri chanzo]

Toleo Rasmi la Nyimbo Mchanganyiko

[hariri | hariri chanzo]

Matoleao Yasiyorasmi

[hariri | hariri chanzo]

Single zake

[hariri | hariri chanzo]

Ilani: Single ya Smooth, Maria Maria, na Into The Night kila moja imeorodheshwa katika Platinamu na RIAA.[2]

Video zake

[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The 100 Greatest Guitarists of All Time : Rolling Stone". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-05. Iliwekwa mnamo 2008-10-09.
  2. "RIAA Gold and Platinum Search for singles by Santana". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-09.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Carlos Santana