Idara ya Charente-Maritime, La Rochelle
Mahali pa Charente-Maritime katika Ufaransa

Charente-Maritime ni département (Kifaransa) au department (Kiingereza) la Poitou-Charentes ya Ufaransa. Mji mkuu wake ni La Rochelle.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Charente-Maritime
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Charente-Maritime kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.