Picha za Chengdu

Chengdu ni jiji kubwa la nne nchini China ikiwa na wakazi wapatao milioni 14 hadi 15.

Ni makao makuu ya jimbo la Sichuan na kitovu muhimu cha uchumi na utamaduni magharibi mwa China.

Chakula chake ni mashuhuri na watu wake hupenda pilipili. Kimataifa ni mashuhuri ikiwa kituo cha utafiti wa panda mkubwa.

Kujisomea

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Chengdu
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chengdu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.