Coolio | |
---|---|
Coolio at a US Army base in Bosnia (2002)
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Artis Leon Ivey, Jr. |
Amezaliwa | 1 Agosti 1963 |
Asili yake | Monessen, Pennsylvania, U.S. |
Aina ya muziki | West Coast Hip-Hop, Gangsta Rap, G-Funk |
Kazi yake | Emcee/Mwigizaji/Mtangazaji wa Kipindi cha Mapishi katin Intaneti |
Miaka ya kazi | 1990–mpaka sasa |
Studio | Tommy Boy/Warner Bros. Records |
Ame/Wameshirikiana na | WC and the Maad Circle, Kel Mitchell, Kenan Thompson, Tupac, Snoop Dogg |
Tovuti | Coolio.com |
Artis Leon Ivey, Jr. (amezaliwa tar. 1 Agosti 1963), anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Coolio, ni rapa, mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Amekuwa mashuhuri wakati wa 1994 na kibao chake cha kwanza cha "Fantastic Voyage", na kisha baadaye mwaka wa 1995 na kibao chake mashuhuri-chenye mafanikio cha "Gangsta's Paradise", ambacho kilikuwa moja kati ya sehemu ya kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds.
Coolio alizaliwa mjini Monessen, Pennsylvania, akiwa kama mtoto wa Artis Leon Ivey Sr., fundi seremara, na Jackie Slater, mfanya kazi wa kiwandani.[1] Wazazi wake walitalikiana na familia ili hama na kwenda mjini Compton, California. Coolio aliingia matatani akiwa nje ya nymbani kwa jinsi alivyotumia wakati wake na vijana wa kuhuni wa Compton's Mona Park Crips, ijapokuwa hakukubaliwa kabisa kuingia kwenye uhuni.[2]
Coolio alikuwa mgeni mzoefu wa kituo cha redio cha mjini Los Angeles, KDAY.
Kazi za awali za muziki za Coolio zilishiia na uuzaji wa madawa ya kulevya feki. Baada ya kujirekebisa, Coolio alifanya kazi mbalimbali.[3]
|accessdate=
(help)