Volikano ilivyo.

Cotopaxi ni mlima wa Andes wenye asili ya volikano ulioko katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 5,897 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia