Diana Ernestine Earle Ross (amezaliwa tar. 26 Machi1944) ni mwimbaji na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Kwenye miaka ya 1960, ameisaidia kuumbisha midundo ya Motown akiwa kama mwimbaji kiongozi wa The Supremes, kabla hajaondoka kundini kwa ajili ya kufanyakazi za kujitemea hapo 14 Januari 1970. Tangu kuanza kazi zake za kimuiziki akiwa na The Supremes na kama msanii wa kujitegemea, Ross ameuza zaidi ya rekodi milioni 150.[2]
Kwenye miaka ya 1970 hadi katikati mwa miaka ya 1980, Ross alikuwa miongoni mwa wasanii wa kike wenye mafanikio makubwa kabisa, katika nyanja za filamu, televisheni na hata Broadway. Alipata kuchaguliwa kama Best Actress Academy Award kwa mwaka wa 1972 alivyocheza kama Billie Holiday kwenye filamu ya Lady Sings the Blues, ambayo pia ameshinda tuzo ya Golden Globe. Ameshinda matuzo kadhaa kwenye American Music Award, amechaguliwa mara kumi na mbili kwenyye Grammy Award, na kushinda Tony Award kwa ajili ya kipindi chake cha mwanamke mmoja, An Evening with Diana Ross, mnamo mwaka wa 1977.
Mwaka wa 1976, jarida la Billboard wamemwita "Mburudishaji wa Kike wa Karne." Mwaka wa 1993, kina Guinness Book of World Records wamemtangaza Diana Ross msanii wa kike mwenye mafanikio zaidi katika historia ya muziki akiwa na jumla vibao vikali 18 vikiwa nafasi ya kwanza huko nchini Marekani: 12 akiwa kama mwimbaji mkuu wa The Supremes na sita akiwa kama msanii wa kujitegemea. Ross alikuwa msanii wa kwanza mwanamke kushinda vibao vikali sita vikiwa nafasi ya kwanza. Ushirika huu unamweka nafasi ya tano katika wasanii wa kike wa kujitegemea kuwa na vibao vingi vya nafasi ya kwanza kwenyer Hot 100.[3] Pia ni mmoja kati ya wasanii wachache wa rekodi kuwa na nyota mbili kwenye Hollywood Walk of Fame—moja akiwa kama msanii wa kujitegemea na nyingine akiwa kama mwanachama wa The Supremes. Mwezi wa Desemba 2007, amepokea Tuzo ya Heshima ya John F. Kennedy Center for the Performing Arts .
Ukijumlisha na kazi zake alizofanya na The Supremes, Ross ametoa jumla ya albamu zipatazo 67.
Albamu zifuatazo zimefikia katika Kumi Bora ya chati za albamu aidha nchini Marekani, ikiwa ni pamoja na chati za R&B au chati za albamu za pop huko nchini Uingereza.
1970: Diana Ross (US #1 R&B)
1971: I'm Still Waiting (a/k/a Surrender) (UK #10)
1973: Lady Sings the Blues (US #1)
1973: Touch Me in the Morning (US #5; UK #7)
1973: Diana & Marvin (akiwa na Marvin Gaye) (UK #6)
Ross, Diana (1993). Secrets of a Sparrow. Random House. ISBN 0679428747. ((cite book)): Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help); Unknown parameter |month= ignored (help)
Ross, Diana (2002). Diana Ross: Going Back. New York: Universe. ISBN 0789307979. ((cite book)): Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help); Unknown parameter |month= ignored (help) (A scrapbook-style collection of photographs)
Diana Ross ·Florence Ballard ·Mary Wilson ·Barbara Martin ·Cindy Birdsong ·Jean Terrell ·Lynda Laurence ·Scherrie Payne ·Susaye Greene Betty McGlown
Studio albums
Meet The Supremes (1962) ·Where Did Our Love Go (1964) ·More Hits by The Supremes (1965) ·I Hear a Symphony (1966) ·Merry Christmas (1965) ·The Supremes A' Go-Go (1966) ·The Supremes Sing Holland–Dozier–Holland (1967) ·Reflections (1968) ·Love Child (1968) ·Let the Sunshine In (1969) ·Cream of the Crop (1969) ·Right On (1970) ·New Ways but Love Stays (1970) ·Touch (1971) ·Floy Joy (1972) ·The Supremes Produced and Arranged by Jimmy Webb (1972) ·The Supremes (1975) ·High Energy (1976) ·Mary, Scherrie & Susaye (1976)
Duet albums
Diana Ross & the Supremes Join The Temptations (1968) ·Together (1969) ·The Magnificent 7 (1970) ·The Return of the Magnificent Seven (1971) ·Dynamite (1971)
Live albums
The Supremes at the Copa (1965) ·Live at London's Talk of the Town (1968) ·TCB (1968) ·On Broadway (1969) ·Farewell (1970) ·The Supremes Live! In Japan (1973)
Other albums
A Bit of Liverpool (1964) ·The Supremes Sing Country, Western and Pop (1965) ·We Remember Sam Cooke (1965) ·The Supremes Sing Rodgers & Hart (1967) ·Diana Ross & the Supremes Sing and Perform "Funny Girl" (1968)
Singles (US/UK Top Ten singles)
"Where Did Our Love Go" ·
"Baby Love" ·
"Come See About Me" ·
"Stop! In the Name of Love" ·
"Back in My Arms Again" ·
"I Hear a Symphony" ·
"My World Is Empty Without You" ·
"Love Is Like an Itching in My Heart" ·
"You Can't Hurry Love" ·
"You Keep Me Hangin' On" ·
"Love Is Here and Now You're Gone" ·
"The Happening" ·
"Reflections" ·
"In and out of Love" ·
"Love Child" ·
"I'm Gonna Make You Love Me" ·
"I'm Livin' in Shame" ·
"Someday We'll Be Together" ·
"Up the Ladder to the Roof" ·
"Stoned Love" ·
"River Deep – Mountain High" ·
"Nathan Jones" ·
"Floy Joy" ·
"Automatically Sunshine"
Videography
T.A.M.I. Show ·Greatest Hits: Live in Amsterdam ·Reflections: The Definitive Performances (1964–1969) ·Motown 25: Yesterday, Today, Forever
1960: "Tears of Sorrow" (as The Primettes) 1961: "I Want a Guy" · "Buttered Popcorn" 1962: "Your Heart Belongs to Me" · "Let Me Go the Right Way" 1963: "My Heart Can't Take It No More" · "A Breathtaking Guy" · "When the Lovelight Starts Shining Through His Eyes" 1964: "Run, Run, Run" · "Where Did Our Love Go" · "Baby Love" · "Come See About Me" 1965: "Stop! In the Name of Love" · "Back in My Arms Again" · "Nothing but Heartaches" · "I Hear a Symphony" · "Things Are Changing" · "Children's Christmas Song" · "My World Is Empty Without You" 1966: "Love Is Like an Itching in My Heart" · "You Can't Hurry Love" · "You Keep Me Hangin' On" 1967: "Love Is Here and Now You're Gone" · "The Happening" · "Reflections" · "In and out of Love" 1968: "Forever Came Today" · "Some Things You Never Get Used To" · "Love Child" · "I'm Gonna Make You Love Me" 1969: "I'm Livin' in Shame" · "I'll Try Something New" · "The Composer" · "No Matter What Sign You Are" · "The Weight" · "I Second That Emotion" · "Someday We'll Be Together"
1970s: (Motown)
1970: "Why (Must We Fall in Love)" · "Up the Ladder to the Roof" · "Everybody's Got the Right to Love" · "Stoned Love" · "River Deep – Mountain High" 1971: "Nathan Jones" · "You Gotta Have Love in Your Heart" · "Touch" · "Floy Joy" 1972: "Automatically Sunshine" · "Your Wonderful, Sweet Sweet Love" · "I Guess I'll Miss the Man" 1973: "Bad Weather" 1974: "Baby Love" (UK reissue) 1975: "He's My Man" · "Early Morning Love" (UK-only single) · "Where Do I Go From Here" 1976: "I'm Gonna Let My Heart Do the Walking" · "High Energy" · "You're My Driving Wheel" 1977: "Let Yourself Go" · "Love, I Never Knew You Could Feel So Good"
Diana Ross (1970) ·Everything Is Everything (1970) ·Surrender (1971) ·Touch Me in the Morning (1973) ·Last Time I Saw Him (1973) ·Diana Ross (1976) ·Baby It's Me (1977) ·Ross (1978) ·The Boss (1979) ·diana (1980) ·Why Do Fools Fall in Love (1981) ·Silk Electric (1982) ·Ross (1983) ·Swept Away (1984) ·Eaten Alive (1985) ·Red Hot Rhythm & Blues (1987) ·Workin' Overtime (1989) ·The Force Behind the Power (1991) ·Take Me Higher (1995) ·Every Day Is a New Day (1999) ·Blue (2006) ·I Love You (2006)
Compilations
Greatest Hits (1972) ·Diana Ross' Greatest Hits (1976) ·20 Golden Greats (1979) ·To Love Again (1981) ·All the Great Hits (1981) ·Forever Diana: Musical Memoirs (1993) ·One Woman: The Ultimate Collection (1993) ·Diana Extended: The Remixes (1994) ·Voice of Love (1996) ·Love & Life: The Very Best of Diana Ross (2001) ·The Definitive Collection (2006)
Live albums
Live at Caesars Palace (1974) ·An Evening with Diana Ross (1977) ·Greatest Hits Live (1989) ·Live: Stolen Moments: The Lady Sings... Jazz and Blues (1992)
Soundtrack albums
Diana! (1971) ·Lady Sings the Blues (1972) ·The Wiz: Original Motion Picture Soundtrack (1978) ·Endless Love (1981)
Other albums
Diana & Marvin · (1973) Christmas in Vienna (with Plácido Domingo and José Carreras) (1993) ·A Very Special Season (1994)
Singles (US/UK Top Ten singles)
"Ain't No Mountain High Enough" ·
"Remember Me" ·
"Surrender" ·
"I'm Still Waiting" ·
"Touch Me in the Morning" ·
"All of My Life" ·
"You Are Everything" ·
"Theme from Mahogany (Do You Know Where You're Going To)" ·
"Love Hangover" ·
"Upside Down" ·
"I'm Coming Out" ·
"My Old Piano" ·
"It's My Turn" ·
"Endless Love" ·
"Why Do Fools Fall in Love" ·
"Mirror, Mirror" ·
"Work That Body" ·
"Muscles" ·
"Missing You" ·
"Chain Reaction" ·
"When You Tell Me That You Love Me" ·
"One Shining Moment" ·
"Not Over You Yet"
Films
Lady Sings the Blues (1972) ·Mahogany (1975) ·The Wiz (1978) ·Out of Darkness (1994) ·Double Platinum (1999)
Tours
Return to Love Tour (2000) ·
I Love You Tour (2007-08) ·
More Today Than Yesterday (2010-11)
Related topics
Discography ·The Supremes ·
Berry Gordy ·
Rhonda Ross Kendrick ·
Tracee Ellis Ross ·
Chudney Ross ·
Ross Næss ·
Evan Ross ·
Arne Næss, Jr. ·
List of awards and nominations received by Diana Ross ·
Diana Ross Playground