Haifa ni mji wa tatu kwa wingi wa wakazi nchini Israeli.
Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 285,316 (2019)[1].
Umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.