Ukurasa huu unahusu Wakatoliki waliouawa na Wakristo wenzao, hasa wa madhehebu mengine, kwa ajili ya imani yao ya Kikatoliki.