Jimmy Jam na Terry Lewis | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | James Harris III na Terry Lewis (kiheshima) |
Aina ya muziki | Pop R&B New Jack Swing Soul |
Kazi yake | Kutunga nyimbo Mwanamuziki Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1982–hadi leo |
Studio | Flyte Tyme |
Ame/Wameshirikiana na | The Time Prince Janet Jackson Michael Jackson The SOS Band Cherelle Force M.D.'s Alexander O'Neal Mariah Carey Usher The Human League Mary J Blige New Edition Barry White Chaka Khan Cleopatra ZYC |
James Samuel "Jimmy Jam" Harris III (amezaliwa mnamo 6 Juni 1959, mjini Minneapolis, Minnesota) na Terry Steven Lewis (amezaliwa mnamo 24 Novemba 1956, mjini Omaha, Nebraska) ni watayarishaji wa muziki wa R&B na pop, na watunzi kutoka nchini Marekani. Wanafahamika zaidi kwa kushirikiana sana na msanii wa kike Bi. Janet Jackson. Watayarishaji hawa, walitamba sana kuna miaka ya 1980 na wamefanyakazi na wasanii kibao.
Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Jam na Terry Lewis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |