| |||||
Kaulimbiu ya taifa: (Khmer: Taifa, Dini, Mfalme) | |||||
Wimbo wa taifa: Nokoreach | |||||
Mji mkuu | Phnom Penh | ||||
Mji mkubwa nchini | Phnom Penh | ||||
Lugha rasmi | KiKhmer1 | ||||
Serikali Mfalme
Waziri Mkuu |
Ufalme wa Kidemokrasia Norodom Sihamoni Hun Manet | ||||
Uhuru Kutangazwa Kutambuliwa |
Kutoka Ufaransa 1949 1953 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
181,035 km² (88th) 2.5% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
15,458,332 (65th) 13,388,910 81.8/km² (118th) | ||||
Fedha | ៛ Riel 2 (KHR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+7) | ||||
Intaneti TLD | .kh | ||||
Kodi ya simu | +855
- | ||||
1 Kifaransa na Kiingereza hueleweka na wasomi tu. 2Lakini pesa za Marekani hutumiwa sana. |
Kamboja au Kampuchia ni ufalme katika bara la Asia upande wa Kusini-Mashariki, katika rasi ya Indochina.
Wakazi wengi (90%) ni Wakhmer. 5% ni Wavietnam, 1% ni Wachina na 4% makabila mbalimbali.
Kuna lugha 22 ambazo huzungumzwa nchini Kamboja. Lugha rasmi na ya kawaida ni Kikhmer.
Upande wa dini, 96.4% ni Wabuddha, madhehebu ya Theravada. 2.1% ni Waislamu na 1.5% ni Wakristo.
Jamii
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kamboja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |