Karoti sokoni.

Karoti (kutoka neno la Kigiriki "karoton" kupitia Kiingereza "carrot") ni mzizi wa mkaroti (jina la kisayansi: Daucus carota) ulio na wingi wa vitamini A.

Inatumika kama mboga na kama dawa, iwe imepikwa au mbichi.

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Daucus carota
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karoti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.