Kichwa na kifua cha kipepeo hufunkikwa kwa mabapa ya khitini ngumu; tumbo hufunkiwa kwa ganda nyembamba ya khitini ambayo ni laini kiasi. Mabwawa wake ni pia ngozi nyembamba zaidi ya khitini.
Kila kinachonekana cha nzige ni khitini

Khitini (ing. chitin, kutoka gir. χιτών khiton "ganda, kinga") ni dutu ngumu nusu angavu inayofanya kiunzi nje ya wadudu na arithropodi wengine.

Inapatikana pia katika kuta ya seli za fungi.

Kikemia ni aina ya polisakaridi yaani molekuli ndefu ya kabohidrati ya (C8H13O5N)n.


Marejeo


Other websites

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Khitini