Kibuku ni mji wa Mkoa wa Mashariki wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Kibuku.

Tazama pia

Marejeo