Kilembwe ni mtoto wa kitukuu, hivyo ni mmoja wa familia katika ukoo. Mtoto wake huitwa kilembwekeza au kining'ina, na mjukuu wake huitwa kitukutuku.