Kimbugu (pia huitwa Kima'a au Kibwayo na wengine) ni lugha mahuluti ya Kibantu na ya Kikushi nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambugu.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.