Kylie Minogue | |
---|---|
| |
Jina Kamili | Kylie Ann Minogue |
Jina la kisanii | Kylie Minogue |
Nchi | Australia |
Alizaliwa | 28 Mei 1968 |
Aina ya muziki | Pop dance-pop Europop Hi-NRG Eurodance R&B |
Kazi yake | Mwigizaji Mwimbaji |
Miaka ya kazi | 1987–hadi leo (mwimbaji)
1979–hadi leo (mwigizaji) |
Ala | Sauti |
Kylie Ann Minogue (alizaliwa Melbourne, Australia, 28 Mei 1968) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu wa Australia. Alianza kujibebea umaarufu kunako miaka ya 1980, kwa sababu ya kucheza katika moja ya sehemu ya tamthilia ya Neighbours, kabla ya kuwa dansa-mwimbaji wa pop.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kylie Minogue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |