Lisbon | |||
| |||
Majiranukta: 38°42′00″N 09°08′00″E / 38.70000°N 9.13333°E | |||
Nchi | Ureno | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Mkoa wa Lisbon | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 564,477 | ||
Tovuti: http://www.cm-lisboa.pt/ |
Lisbona (kwa Kireno: Lisboa) ni mji mkuu wa Ureno, pia mji mkubwa wa nchi wenye wakazi 560,000; pamoja na rundiko la mji ni milioni mbili.
Mji uko kando ya mto Tejo kwenye kona ya kusini-magharibi ya Ulaya mwambaoni kwa Atlantiki.
Mji ulijulikana tangu karne ya 3 KK kwa jina la "Olispo". Wakati wa Dola la Roma ulikuwa mji mkuu wa jimbo la Lusitania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lisbon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |