Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha Wafiadini wa Nagasaki, karne ya 16 na ya 17.

Lorenzo Ruiz (Binondo, Manila, Ufilipino 1600 hivi – Nagasaki, Japani 29 Septemba 1637),[1] ni Mfilipino[2] wa kwanza kutangazwa mtakatifu na Kanisa Katoliki[3].

Mlei huyo alifia dini ya Ukristo kisha kukataa kuhama Japani na kukana imani yake wakati wa dhuluma za watawala wa Edo (leo Tokyo) kutoka ukoo wa Tokugawa katika karne ya 17.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mfiadini mwenye heri tarehe 18 Februari 1981, halafu mtakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Pamoja naye walitangazwa watakatifu na wanaheshimiwa kama wafiadini wa Japani (1633–1637):[4][5][6]

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba[7].

Tazama pia

Tanbihi

  1. http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20020527_saints-jp-ii_it.html
  2. Ila baba yake alikuwa Mchina.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72250
  4. Biography at the Vatican website
  5. USCCB (Office of Media Relations) – Beatifications During Pope John Paul II’s Pontificate Archived 19 Mei 2011 at the Wayback Machine.
  6. Lawrence Ruiz and companions from the Vatican website
  7. Martyrologium Romanum

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.