Luteni jenerali ni ofisa wa jeshi mwenye cheo cha juu kuliko meja jenerali na chini ya jenerali.
Luteni jenerali wa jeshi la Tanzania kwa sasa ni Yakubu Hasan.[1]