Maher Zain

Maelezo ya awali
Amezaliwa 16 Julai 1981 (1981-07-16) (umri 43)
Tripoli, Lebanoni
Aina ya muziki Nasheed, pop
Kazi yake Mwimbaji, Mtunzi
Ala Sauti, Piano, Gitaa, Keyboards
Miaka ya kazi 2009–
Studio Awakening Records
Tovuti https://www.facebook.com/MaherZain

Maher Zain (Kiarabu: ماهر زين‎ ; amezaliwa tar. 16 Julai, 1981[1] mjini Tripoli, Lebanon) ni mwimbaji wa Kiislamu-R&B kutoka nchini Uswidi/. Pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki vilevile. Asili yake ni Lebanoni. Alitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Thank You Allah, albamu iliyotamba kimataifa na yenye mafanikio na vilevile ina athira ya dini ya Kiislamu, mnamo 2009. Akatoa albamu yake ya pili Forgive Me mnamo tar. 2 Aprili, 2012.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Albamu

[hariri | hariri chanzo]

KISOPE FROM ZANZIBAR

Singles

[hariri | hariri chanzo]
Featured

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://twitter.com/MaherZain/status/312996761113346049

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]