Kata ya Malengamakali | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Iringa |
Wilaya | Iringa Vijijini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 9,394 |
Malengamakali ni kata ya tarafa ya Ismani, Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, yenye Postikodi namba 51218.
Vijiji vyake ni kama vileː Usolanga, Iguluba, Makadupa, Mkulula na Nyakavangala.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 9,394 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,917 waishio humo. [2] Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,597 waishio humo. [3]
Ni eneo maarufu kwa kilimo hasa cha mahindi, ingawa ardhi imechoka kutokana na matumizi makubwa, hasa katika miaka ya 1950 na 1960, Ismani peke yake ilipokuwa inaweza kuzalisha kuliko Tanzania nzima.
Upande wa dini, wengi ni Wakristo, hasa Wakatoliki na Walutheri.
Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania | ||
---|---|---|
Idodi | Ifunda | Ilolompya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihanga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Magulilwa | Mahuninga | Malengamakali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malengamakali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |