Manchester | |
Mahali pa mji wa Manchester katika Uingereza |
|
Majiranukta: 53°28′0″N 2°14′0″W / 53.46667°N 2.23333°W | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Nchi ya Ufalme | Uingereza |
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 458,100 |
Tovuti: www.manchester.gov.uk |
Manchester ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uingereza. Mji unajulikana kama "mji mkuu wa kaskazini ya Uingereza".[1]
Manchester una kilabu mbili za mpira ambazo zinajulikana sana, Manchester United na Manchester City.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manchester kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |