Mjusi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mjusi madoa-macho (Chalcides ocellatus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Kladi zinazokubaliwa:
|
Mijusi ni wanyama watambaachi katika oda Squamata ya ngeli Reptilia. Spishi nyingi sana zina miguu minne, lakini kuna spishi nyingine zilizopoteza miguu miwili au miguu yote. Urefu wa mijusi unaanzia kutoka sm kadhaa (spishi ndogo za kinyonga na mjusi-kafiri) hadi m 3 (joka wa Komodo).
Mijusi hula nyama, spishi ndogo hula wadudu na spishi kubwa hula vertebrata pia mpaka joka wa Komodo anayekula wanyama hadi ukubwa wa nyati-maji. Hata hivyo spishi nyingi hula mimea na/au matunda pia.
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjusi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |