Mto Bahr el Ghazal (pia: Bahr al Ghazal na Baḩr al Ghazāl; kwa Kiarabu: بحر الغزال, maana yake "mto wa swala") unapatikana Sudan Kusini.
Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa kilometre 716 (mi 445), ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.[1]
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Bahr-el-Ghazal. |