Ngome ya Monteagudo, Murcia.

Murcia ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Murcia.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 447,182, ukiwa wa saba nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Murcia

Murcia travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Murcia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.