Mwatate
Nchi Kenya
Kaunti Kaunti ya Taita-Taveta
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3 386
Wachimbaji katika mgodi.

Mwatate ni mji wa kaunti ya Taita-Taveta, na ndio makao makuu ya kaunti. Ni pia kata ya eneo bunge la Mwatate, kusini mashariki mwa Kenya[1].

Tanbihi

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine