Octave Mirbeau.

Octave Mirbeau (16 Februari 184816 Februari 1917) alikuwa mwandishi , mwanahabari, mkosoaji wa sanaa, mtawala huria, mhamasishaji na mtunga hadithi wa Ufaransa, ambaye alitetea kukuzwa kwa wasanii wenye ubunifu mkubwa (Claude Monet, Auguste Rodin, Vincent Van Gogh na Paul Cezanne).

Katika riwaya, alitoa mwongozo mpya: L'Abbé Jules (Padre Jules, 1888), Le Journal d'une femme de chambre (Jarida la mwanamke wa chumbani, 1900), 628-E8 (1907) alishuhudia katika ukumbi, ushindi mkubwa duniani kote kwa vichekesho vyake na kwa njia na wahusika juu ya ubepari wa kisasa, Les affaires sont les affaires (Biashara ni biashara, 1903).

Tamthiliya zake

Viungo vya nje