Pambazuko baharini.
Jua limeshapambazuka huko Cua Lo, Vietnam.
Video ya pambazuko.

Pambazuko (au macheo au maawio ya jua) ni hasa nukta ambapo jua linaanza kuonekana upande wa mashariki wa dunia,[1] lakini pia kipindi chote cha siku ambacho kinafuata na kuathiriwa na nukta hiyo.[2]

Kurudi kwa mwanga wa kutosha duniani baada ya giza la usiku ni mfano muhimu katika sanaa na katika dini ambao unachukuliwa kama mzuri na wa kuleta tumaini jipya.

Kinyume cha mapambazuko au macheo ni machweo wakati wa jioni.

Tanbihi

  1. "U.S. Navy: Rise, Set, and Twilight Definitions". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-14. Iliwekwa mnamo 2015-05-27.  Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Sunrise - Definition and More from the Free Merriam-Webster Dictionary

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pambazuko
Vipindi vya siku UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiri • Pambazuko • AsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo