Ponto kati ya maeneo mengine ya Anatolia.
Anatolia wakati wa Warumi na Wagiriki wa Kale.

Ponto (kwa Kigiriki: Πόντος, Pontos) ilikuwa eneo la kaskazini mashariki mwa rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) kwenye Bahari Nyeusi.

Inatajwa na Biblia ya Kikristo katika Waraka wa kwanza wa Petro 1:1 na katika Matendo ya Mitume 2:9 na 18.2.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Pontus

40°36′N 38°00′E / 40.6°N 38.0°E / 40.6; 38.0

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ponto kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.