Punda | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Punda-kaya katika Hifadhi ya Taifa ya Amboseli
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 3, nususpishi 12:
|
Punda ni wanyama wakubwa kiasi wa nusujenasi Asinus ya jenasi Equus katika familia Equidae wafananao na farasi mdogo. Spishi moja (Equus kiang), ambayo inatokea Asia, huitwa kiang'. Punda anayejulikana sana ni yule anayefugwa (Punda-kaya), lakini kuna punda porini pia. Watu huwatumia punda wafugwao kwa kubeba mizigo, kuvuta magari au kuwarakibu. Punda wanaweza kuzaliana na farasi lakini watoto wao (baghala au nyumbu) hawazai tena kwa kawaida.
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Punda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |