Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi
Rangi | Sampuli | Msimbo wa HTML |
---|---|---|
Nyeusi | #000000 | |
Kijivujivu | #808080 | |
Kijivu | #B2BEB5 | |
Fedha | #C0C0C0 | |
Udongo | #553A26 | |
Kahawia | #6F4E37 | |
Chokoleti | #7B3F00 | |
Kutu | #B7410E | |
Shaba | #B87333 | |
Hudhurungi | #C78200 | |
Ukaria | #CC7722 | |
Marungi | #D2691E | |
Zambarau | #800080 | |
Urujuani | #8F00FF | |
Nili | #6F00FF | |
Buluu | #0000FF | |
Samawati | #87CEEB | |
Feruzi | #30D5C8 | |
Kijani | #00AA00 | |
Zaituni | #808000 | |
Zumaridi | #50C878 | |
Chanikiwiti | #A3FF00 | |
Ndimu | #BFFF00 | |
Manjano | #ffff00 | |
Mahindi | #FBEC5D | |
Dhahabu | #FFD700 | |
Kaharabu | #FFBF00 | |
Machungwa | #FF7F00 | |
Nyekundu | #FF0000 | |
Waridi | #FF007F | |
Pinki | #FFC0CB | |
Lulu | #EAE0C8 | |
Mtindi | #FFFDD0 | |
Nyeupe | #FFFFFF |
Majina yafuatayo ya Kiingereza yanatambuliwa pamoja na misimbo ya wikipedia:
Kwa majina mengine na misimbo yao unayoweza kutumia katika kazi ya kuhariri ona makala ya Kiingereza en:Web_colors.
Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |