Lerkendal ni Uwanja wa mpira wa miguu huko Trondheim, Norwei. Ni uwanja wa nyumbani kwa Rosenborg BK. Unapokea watazamaji 21,116, na hivi ni wa pili kwa ukubwa nchini humo.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Rosenborg Ballklub kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.