Rouen | |
Mahali pa mji wa Rouen katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 49°26′38″N 1°06′12″E / 49.44389°N 1.10333°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Haute-Normandie |
Wilaya | Seine-Maritime |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 110,276 |
Tovuti: www.rouen.fr |
Rouen ndiyo mji mkuu katika mkoa la Haute-Normandie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 530,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-152 kutoka juu ya usawa wa bahari.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rouen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |