Jiji la Rutongo | |
Mahali pa mji wa Rutongo katika Rwanda |
|
Majiranukta: 1°49′03″S 30°03′33″E / 1.81750°S 30.05917°E | |
Nchi | Rwanda |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 50.000[1] |
Rutongo ni mji ulioko katikati ya Rwanda kwenye umbali wa karibu km 10 (maili 8) tu kutoka mji mkuu wa Rwanda, Kigali.
Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha m 1579 juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani: hakuna baridi kali wala joto kali.[2][3]
Kuna seminari ya awali ya Kanisa Katoliki.[4]; [5]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rutongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |