Sigara ni kitu cha kuvuta moshi kinachojenga uraibu. Kinatengenezwa kwa tumbaku na kusokotwa kwa karatasi maalumu, chenye umbo refu na la mviringo.
Sigara zinasababisha madhara makubwa katika mwili wa binadamu: mara nyingi hudhuru mapafu na mfumo mzima wa upumuaji.
Sigara za kisasa za viwandani zimechujwa, na pia zinajumuisha tumbaku iliyoandaliwa.
Asilimia ya wavutaji | ||
---|---|---|
Eneo | Wanaume | Wanawake |
Afrika | 29% | 4% |
Amerika | 35% | 22% |
Mediterania Mashariki | 35% | 4% |
Ulaya | 46% | 26% |
Asia ya Kusini Mashariki | 44% | 4% |
Pasifiki ya Magharibi | 60% | 8% |
Source: World Health Organization estimates, 2000
Nchi | Idadi ya wakazi (milioni) |
Sigara zilizovutwa (bilioni) |
Sigara zilizovutwa (kwa mtu) |
---|---|---|---|
Uchina | 1,248 | 1,643 | 1,320 |
Marekani | 270 | 451 | 1,670 |
Japani | 126 | 328 | 2,600 |
Urusi | 146 | 258 | 1,760 |
Indonesia | 200 | 215 | 1,070 |
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sigara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |