Mt. Silinia katika dirisha la kioo cha rangi la seminari ya zamani huko Reims.

Silinia (alifariki Laon, Ufaransa, 464 hivi) ni maarufu kwa sababu alikuwa mama wa maaskofu Prinsipi wa Soissons na hasa Remigius wa Reims[1], aliyechangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I na wa taifa zima.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[2].

Tazama pia

Tanbihi

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74600
  2. Martyrologium Romanum

Vyanzo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.