Ucheshi  ni aina ya vichekesho ambavyo vinahusisha wahusika wanaotumia au gawiana mazingira mamoja, kama vile nyumbani au mahali pa kazi, hasa ikiwa na majibizano ya kichale. Vipindi kama hivyo vilitokana na mchezo wa redio, lakini leo hii, ucheshi unapatikana sana kwenye televisheni ikiwa kama aina/tanzu/fani ya fasihi simulizi yake kubwa inayotawala. 

Tazama pia

Marejeo

Jisomee

Viungo vya Nje