Ulaya ya Kaskazini na nchi zinazokubaliwa kwa kawaida kuwa sehemu zake
Kanda za UM linaonyesha visiwa vya Britania kuwa sehemu ya Ulaya ya Kaskazini.

Ulaya ya Kaskazini ni sehemu ya kaskazini ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili.

Kwa hakika tamko hili lamaanisha:

Ulaya portal