Mtu akiwa amelala usingizi huko Ouagadougou, Burkina Faso.

Usingizi (kwa Kiingereza "sleep") ni hali ya binadamu na wanyama kupumzika kwa mwili na akili.

Usingizi hutokea wakati mapigo ya moyo na upumuaji hupungua kwa ngazi zao za chini. Misuli yako inatulia na inaweza kuwa vigumu kukuamsha. Huwa hujitambui wala hujitawali sawasawa.

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Sleep
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usingizi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.