Wahadzabe au Wahadza[1][2] ni kabila la Tanzania linaloishi hasa kandokando ya Ziwa Eyasi kwenye Bonde la Ufa na katika uwanda jirani wa Serengeti.
Leo Wahadza hawafikii 1,000:[3][4] kati yao 300–400 wanaishi bado kwa kuwinda na kuchuma vyakula bila uzalishaji, kama waliofanya mababu wao tangu awali.[5]
Wahadza hawana undugu wa karibu na kabila lingine lolote, na vilevile lugha yao ni ya pekee kabisa.[6][7][8]
|date=
(help)Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wahadzabe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |