Agano Jipya

Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mazingira

Barua hii iliandikwa na Mtume Paulo baada ya kifungo chake cha kwanza mjini Roma labda akiwa Makedonia ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi Timotheo mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Waraka wa kwanza kwa Timotheo
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Waraka wa kwanza kwa Timotheo
Search Wikisource Wikisource has original text related to this article:

Tafsiri ya Kiswahili

Vingine

Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa kwanza kwa Timotheo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.