Wilaya ya Kasese | |
![]() |
|
Majiranukta: 00°11′S 30°05′E / 0.183°S 30.083°E | |
Nchi | ![]() |
---|---|
mji mkuu | Kasese |
Eneo | |
- Jumla | 2,724 km² |
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 649,400 |
Tovuti: http://www.kasese.go.ug |
Wilaya ya Kasese ni wilaya iliyoko katika Mkoa wa Magharibi, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 649,400.
Wilaya ya Kasese iko katika ukanda wa ikweta. Inapakana na Wilaya ya Kabarole upande wa kaskazini, Wilaya ya Kamwenge upande wa mashariki, Wilaya ya Rubirizi upande wa kusini, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.
Makao makuu ya wilaya yako Kasese, wastani wa km 359 kwa barabara, magharibi mwa Kampala, mji mkuu na mji mkubwa zaidi nchini Uganda.[1]
((cite web))
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kasese kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |